Nenda kwa yaliyomo

Ful medames

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
maharagwe ya fava

Maharagwe ya Fava ni mchuzi mzito wa maharagwe ya mapana yaliyopikwa na kuandaliwa pamoja na mafuta ya mzeituni, bizari nyembamba,kitunguu saumu, kitunguu maji, juisi ya limau, pilipili, giligilani au mboga na viungo vingine.chakula hiki ni chakula cha kijadi ambacho hupikwa na kupakuliwa kutoka kwenye mtungi mkubwa wa chuma. Ni chakula kikuu nchini Misri na kinachukuliwa kuwa ndicho chakula cha kitaifa cha nchi hiyo.[1][2]

  1. ↑ Zena Hassoun (2017-01-26). "Syrian Ful Medames (Breakfast Bean Salad)". Zen and Zaatar (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-07-25.
  2. ↑ El-Haddad, Laila M.; Schmitt, Maggie (2016). The Gaza Kitchen: A Palestinian Culinary Journey (kwa Kiingereza). Just World Books. ISBN 978-1-68257-008-1.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ful medames kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.