Nenda kwa yaliyomo

Friedrich Carl Andreas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Friedrich Carl Andreas (14 Aprili 1846 huko Batavia4 Oktoba 1930 huko Göttingen) alikuwa msomi wa taaluma za Mashariki mwenye asili ya Ujerumani, funguvisiwa la Malay, na Armenia (akiwa mzao wa familia ya kifalme ya Bagratuni).[1][2]

Alikuwa mume wa mtaalamu wa uchanganuzi wa kisaikolojia (psychoanalyst) Lou Andreas-Salomé.

  1. His research of the "Turfan fragments" was made possible by way of a set of photographs supplied to him from Berlin.
  2. Rilke and Andreas-Salomé: A Love Story in Letters by Rainer Maria Rilke, Lou Andreas-Salomé
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Friedrich Carl Andreas kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.