Nenda kwa yaliyomo

Frene Ginwala

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Frene Noshir Ginwala (25 Aprili 193212 Januari 2023) alikuwa mwanahabari na mwanasiasa wa Afrika Kusini ambaye alikuwa spika wa kwanza wa Bunge la Kitaifa la Afrika Kusini kuanzia 1994 hadi 2004.[1] Alikuwa na ushawishi mkubwa katika uandishi wa Katiba ya Afrika Kusini na pia alikuwa mtu muhimu katika kuanzisha demokrasia nchini Afrika Kusini.

Alizaliwa mjini Johannesburg, mnamo 25 Aprili 1932, akiwa Mhindi wa Afrika Kusini kutoka jamii ya Waparsi ya India ya magharibi. [2]

  1. Frene Ginwala from South African History Online. Retrieved 3 December 2007.
  2. Frene Ginwala Archived 17 Januari 2023 at the Wayback Machine Freedom Collection interview
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frene Ginwala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.