Fredrik Hansen
Mandhari
Fredrik Hansen P.S.S. (alizaliwa 13 Juni 1979) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Norwei, ambaye amehudumu kama Askofu wa Oslo tangu Julai 2025.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Monsignore Fredrik Hansen er utnevnt til koadjutorbiskop av Oslo". www.katolsk.no (kwa Kinorwe cha Bokmal). Iliwekwa mnamo 2025-07-16.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |