Franz Ehrle
Mandhari
Franz Ehrle S.J. (17 Oktoba 1845 – 31 Machi 1934) alikuwa padre wa Shirika la Yesu (Wajesuiti) kutoka Ujerumani na kardinali wa Kanisa Katoliki.
Alikuwa Mhifadhi wa Archives za Siri za Vatikani, ambapo alikua kiongozi muhimu katika uamsho wa Thomism (falsafa ya Thomas Aquinas) katika mafundisho ya Kanisa Katoliki.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Franz Ehrle, Die internationale Konferenz in St Gallen am 30 September und 1 October 1898 zur Beratung über die Erhaltung und Ausbesserung alter Handschriften, Centralblatt fur Bibliothekswesen, 16 (1899) 27-51
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |