Nenda kwa yaliyomo

Frans Kapofi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Frans Kapofi (amezaliwa 25 Januari 1953 huko Onaame, Mkoa wa Ohangwena) ni mwanasiasa wa Namibia ambaye tangu mwaka 1999 amehudumu katika nyadhifa mbalimbali ndani ya Baraza la Mawaziri la Namibia.[1]

  1. "The Minister of Presidential Affairs - GRN Portal". www.op.gov.na (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-02-07. Iliwekwa mnamo 2026-05-20.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frans Kapofi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.