Frank Loesser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Faili:Frank-loesser-3.jpg
Frank Loesser

Frank Henry Loesser (29 Juni 191028 Julai 1969) alikuwa mtunzi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1962, pamoja na mwandishi Abe Burrows, Loesser alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yao How to Succeed in Business Without Really Trying.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frank Loesser kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.