Frank Leo
Mandhari
Francis "Frank" Leo (alizaliwa Juni 30, 1971) ni askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Kanada ambaye amehudumu kama Askofu Mkuu wa Toronto tangu Machi 2023. Kabla ya uteuzi wake Toronto, alikuwa Askofu Msaidizi wa Montreal kuanzia Septemba 2022. Tangu mwaka 2007, amekuwa mwanachama wa Priestly Fraternities of Saint Dominic.
Alipewa cheo cha kardinali tarehe 7 Desemba 2024 na Papa Fransisko.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Frank Leo Formally Installed as New Archbishop of Toronto". Ordo Preedicatorum. Iliwekwa mnamo Novemba 3, 2024.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |