Nenda kwa yaliyomo

Franja du Plessis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Franja du Plessis (alizaliwa 2 Januari 1994) ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka Namibia, anayemimba kwa lugha ya Afrikaans. Alionekana katika filamu ya mwaka 2013, As jy sing, akiwa na nafasi ya Marna.[1] Albamu yake ya kwanza, My verhaal ("Hadithi Yangu"), ilifikia cheti cha platinamu mwaka 2016. Pia ni binti wa mwimbaji Juanita du Plessis na dada wa mwimbaji Ruan Josh.[2]


  1. Fockema, Marisa (5 Januari 2017). "Gewilde Afrikaanse sangeres verlief en verloof". Huisgenoot.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Juanita du Plessis and family brings Meer as ’n Melodie. The Citizen
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Franja du Plessis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.