Franco Agnesi
Mandhari
Franco Maria Giuseppe Agnesi (alizaliwa Milano 4 Desemba 1950) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia, akiwa Askofu Msaidizi wa Milano tangu 24 Mei 2014.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Redazione (2014-06-28). "Mons. Franco Agnesi, primo vescovo legnanese". LegnanoNews (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |