Franciszek Macharski
Mandhari
Franciszek Macharski (20 Mei 1927 – 2 Agosti 2016) alikuwa Kardinali wa Polandi wa Kanisa Katoliki.
Aliteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Kraków mnamo 1978, akichukua nafasi ya Papa Yohane Paulo II baada ya kuteuliwa kuwa Papa. Macharski alipewa hadhi ya kardinali mnamo 1979 na alijiuzulu kama askofu mkuu mnamo 2005.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nie żyje kardynał Franciszek Macharski". RMF 24. 2 Agosti 2016. Iliwekwa mnamo 2 Agosti 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |