Franciscus Nipa
Mandhari
Franciscus Nipa ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Indonesia na mwanazuoni. Aliteuliwa kuwa Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Makassar mnamo 21 Oktoba 2023. Tangu tarehe 17 Oktoba 2024, anahudumu kama Askofu Mkuu wa Makassar.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Resignations and Appointments". press.vatican.va.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |