Nenda kwa yaliyomo

Francisco Valdés Subercaseaux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Maximiano Valdés Subercaseaux (kwa jina la kitawa Francisco; 23 Septemba 19084 Januari 1982) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Chile na mwanachama wa Shirika la Wafransisko Wakapuchini.

Alikuwa Askofu wa kwanza wa Osorno kuanzia 1956 hadi kifo chake. Valdés aligundua wito wake wa ukuhani alipokuwa na wazazi wake barani Ulaya na alipewa daraja ya upadri huko Venice baada ya kumaliza masomo yake huko Roma, lakini aliendelea na mafunzo zaidi miongoni mwa Wafransisko wa Ulaya kabla ya kurudi Chile.[1][2]

  1. "Venerable Maximiano Valdés Subercaseaux". Saints SQPN. 10 Novemba 2014. Iliwekwa mnamo 19 Mei 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Bishop Francisco Maximiano Valdés Subercaseaux O.F.M. Cap". Find a Grave. 13 Septemba 2008. Iliwekwa mnamo 19 Mei 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.