Francisco Serrano Castro
Francisco de Asis Serrano Castro (alizaliwa 21 Machi 1965) ni jaji wa zamani wa Uhispania na mwanasiasa wa chama cha Vox.
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Alianza kazi kama jaji akiwa na miaka 25. Alijulika sana kwa sababu alikuwa na kauli mbaya dhidi ya wanawake, na pia kwa kesi ya malezi ya mtoto mwaka 2010. Baada ya kesi hiyo, alisimamishwa kazi mara tatu: mara ya kwanza miaka 2, mara ya pili miaka 10, na mwisho akafutwa kazi kabisa.
Baadaye, mwaka 2014, aliingia kwenye chama cha siasa kinachoitwa Vox. Aliwahi kugombea urais wa serikali ya Andalusia mwaka 2015 na tena mwaka 2018. Katika uchaguzi wa 2018, chama chake kilipata viti 12 bungeni.
Mwaka 2020, aliondoka kwenye chama na akaacha ubunge wake baada ya kutuhumiwa kufanya udanganyifu.[1][2][3][4][5][6][7][8][9][10][11][12][13]
Kazi ya kisiasa
[hariri | hariri chanzo]Serrano alijiunga na chama cha Vox mwaka 2014. Aligombea katika uchaguzi wa Andalusia mwaka 2015 bila kushinda. Mwaka 2018 aligombea tena na chama chake kikapata viti 12 bungeni.
Mwaka 2019 alikosolewa kwa kauli yake kuhusu kesi ya ubakaji, na chama kikamwacha. Mwaka 2020 aliondoka kabisa kwenye chama cha Vox na bungeni baada ya kutuhumiwa kwa udanganyifu wa fedha. Baadaye alirudi kwenye kazi yake ya uwakili.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Diéguez, Antonio (4 Desemba 2018). "Así es la familia de Francisco Serrano, el candidato de VOX a la presidencia de la Junta de Andalucía" [About the family of Francisco Serrano, VOX's candidate for the presidency of the Junta of Andalusia]. El Mundo (kwa Spanish). Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Concentración en apoyo del juez de Familia que critica la Ley de Violencia de Género" [Rally in support of the family judge who criticises the Gender Violence Law]. El Mundo. 26 Desemba 2009. Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Cano, J. A.; Moreno, S. (13 Oktoba 2011). "El juez Francisco Serrano, condenado por el TSJA a dos años de inhabilitación" [Judge Francisco Serrano, sentenced by the High Court of Justice of Andalusia to two years of disqualification]. El Mundo (kwa Spanish). Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Rodríguez, Chema (27 Oktoba 2016). "El juez Serrano: "Me condenaron por criticar la ideología de género, por ser políticamente incorrecto"" [Judge Serrano: "They sentenced me for criticising gender ideology, for being politically incorrect"]. El Mundo (kwa Spanish). Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Peral, María (12 Julai 2012). "El Supremo agrava la pena al juez Serrano por prevaricación intencionada" [Supreme Court increases judge Serrano's sentence for intentional perversion of justice]. El Mundo (kwa Spanish). Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "El juez Serrano, candidato de Vox en Andalucía" [Judge Serrano, Vox candidate in Andalusia] (kwa Spanish). Libertad Digital. 6 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Morillo, Isabel (17 Oktoba 2018). "Vox decide presentarse en Andalucía: el juez Serrano, favorito a ser candidato" [Vox decides to stand in Andalusia: judge Serrano, favourite to be candidate]. El Confidencial (kwa Spanish). Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Alonso, Mariano (26 Oktoba 2018). "VOX elige al juez de familia Francisco Serrano como candidato en Andalucía" [VOX chooses family judge Francisco Serrano as candidate in Andalusia] (kwa Spanish). Libertad Digital. Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Far right wins seats in Spanish region for first time since Franco". The Guardian. 3 Desemba 2018. Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Torres, Diego (3 Desemba 2018). "Vox shocks Spain". Politico. Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Far right wins first assembly seats in Spain since Franco". The Times. 3 Desemba 2018. Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Rodríguez, Chema (23 Juni 2019). "Francisco Serrano: El líder (desdibujado y desautorizado) de Vox en Andalucía" [Francisco Serrano: The (faded and disavowed) leader of Vox in Andalusia]. El Mundo (kwa Spanish). Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ Moreno, Silvia (1 Septemba 2020). "El juez Francisco Serrano deja su escaño en el Parlamento y denuncia "ataques" de Vox" [Judge Francisco Serrano leaves his seat in Parliament and denounces "attacks" from Vox]. El Mundo (kwa Spanish). Iliwekwa mnamo 21 Mei 2022.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Francisco Serrano Castro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |