Nenda kwa yaliyomo

Francisco Nunes Teixeira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francisco Nunes Teixeira (26 Januari 1910 – 2 Machi 1999) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ureno ambaye alihamia Msumbiji.

Alipadrishwa mwaka 1933, na aliteuliwa kuwa Askofu mwezi Februari 1955. Mnamo Machi 1955, aliteuliwa kuwa Askofu wa Jimbo la Kanisa Katoliki la Quelimane huko Msumbiji na alistaafu mwaka 1975.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.