Nenda kwa yaliyomo

Francisco González Valer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francisco González Valer, S.F. (22 Mei 19394 Machi 2024) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki mzaliwa wa Hispania aliyekuwa baadaye raia wa Marekani.

Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Washington, D.C., kutoka mwaka 2001 hadi 2014.[1]

  1. "A retired bishop with a generous heart goes home to Spain". Catholic Standard (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-02. Iliwekwa mnamo 2021-12-14.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.