Francisca Oteng-Mensah
Mandhari
Francisca Oteng-Mensah (alizaliwa 14 Februari, 1993) [1]ni mbunge wa Chama kipya cha Uzalendo anayeihudumia Jimbo la Kwabre Mashariki na alijulikana kama mbunge mdogo zaidi wa Jamhuri ya Nne ya Ghana wakati wa uchaguzi mkuu mwaka 2016.[2]
Maisha ya Awali
[hariri | hariri chanzo]Francisca alizaliwa katika hospitali ya Aboaso,iliyopo Mamponteng[3]katika mkoa wa Ashanti tarehe 14 Februari 1993.
Yeye ni binti wa Joyce Oteng na Kwaku Oteng[4], ambaye ni daktari na mfanyabiashara, pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Angel Group.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Meet Youngest MP, Ms. Oteng-Mensah". GhanaStar (kwa American English). 2017-02-17. Iliwekwa mnamo 2019-03-02.
- ↑ "Sir John attacks 22-year-old Francisca Oteng-Mensah". GhanaWeb. Iliwekwa mnamo 2015-06-16.
- ↑ "https://www.ghanastar.com/news/meet-youngest-mp-ms-oteng-mensah/".
{{cite web}}: External link in(help); Missing or empty|title=|url=(help) - ↑ "Dr. Kwaku Oteng". Ghana mom-rsf (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-03-02.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Francisca Oteng-Mensah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |