Nenda kwa yaliyomo

Francis Spellman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kardinali Spellman na Madame Hope Somoza, mke wa rais wa Nicaragua, wakiwa kwenye tafrija ya New York City.
Askofu Mkuu Spellman akisambaza Ushirika Mtakatifu katika misa wakati wa ziara ya Jeshi la Tano la Marekani nchini Italia 1944 wakati wa Vita Kuu ya II.

Francis Joseph Spellman (4 Mei 18892 Desemba 1967) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani. Alihudumu kama Askofu Mkuu wa New York kuanzia 1939 hadi kifo chake mwaka 1967. Kabla ya hapo, aliwahi kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Boston kutoka 1932 hadi 1939.

Alipewa hadhi ya kardinali na Papa Pius XII mwaka 1946[1]

  1. "Francis Joseph Cardinal Spellman [Catholic-Hierarchy]". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 2024-04-26.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.