Francis Hayman
Mandhari
Francis Hayman (1708 – Februari 2, 1776) alikuwa mchoraji picha wa Uingereza ambaye alikuwa mmoja wa wanachama waanzilishi wa Royal Academy mwaka 1768[1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Peter Matthews, Who's Buried Where in London, p.33.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Francis Hayman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |