Francis Coquelin
Francis Coquelin | ||
![]() | ||
Maelezo binafsi | ||
---|---|---|
Jina kamili | Francis Coquelin | |
Tarehe ya kuzaliwa | 13 Mei 1991 | |
Mahala pa kuzaliwa | Laval,Mayenne, Ufaransa | |
Urefu | 1.78m | |
Nafasi anayochezea | Mchezaji wa kati | |
Maelezo ya klabu | ||
Klabu ya sasa | Valencia C.F. | |
Namba | 35 | |
Klabu za vijana | ||
2000-2005 2005-2008 2008 |
AS du Bourny Stade Lavallois Arsenal | |
Klabu za ukubwani | ||
Miaka | Klabu | |
2008-2018 | Arsenal | |
Timu ya taifa | ||
2007-2008 2008-2009 2009 |
Ufaransa-Vijana walio chini ya umri wa miaka 17 Ufaransa-Vijana walio chini ya umri wa miaka 18 Ufaransa-Vijana walio chini ya umri wa miaka 19 | |
* Magoli alioshinda |
Francis Coquelin (alizaliwa 13 Mei 1991) ni mchezaji wa Ufaransa ambaye huchezea klabu ya Arsenal kama mchezaji wa kati. Yeye alijiunga na klabu ya Arsenal kutoka Stade Lavallois katika majira ya joto ya mwaka wa 2008.
Wasifu wa Klabu[hariri | hariri chanzo]
Aliyezaliwa Laval, Mayenne, Coquelin alianza kwa kuchezea timu ya As Laval Bourny kabla ya kutoka timu hiyo katika mwaka wa 2005 akihamia klabu kubwa kabisa katika eneo hilo,Stade Lavallois. Coquelin alicheza katika klabu hiyo hadi talanta yake iliponekana na skauti wa wachezaji wa Arsenal, Gilles Grimandi. Talanta yake ilionekana katika Shindano la UEFA la Uropa la vijana waliokuwa chini ya miaka 17 la 2008 walipokuwa wakicheza dhidi ya Israeli.
Arsenal[hariri | hariri chanzo]
Msimu wa 2008/09[hariri | hariri chanzo]
Mnamo Julai 2008, Coquelin alijiunga na Arsenal kutoka Stade Lavallois kufuatia mafanikio katika majaribio yake na klabu. Ingawa alipata jeraha la paja lililosimamisha majaribio yake,alikuwa amewavutia wataalam wa Arsenal na akapewa mkataba na klabu. Coquelin alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya Arsenal alipocheza katika mechi ya kabla msimu dhidi ya Barnet na Szombathelyi Haladas na akacheza mechi yake ya kwanza kubwa kwa timu hiyo katika ushindi wao dhidi ya timu ya Sheffield United mnamo 23 Septemba 2008.Aliingia kama mchezaji mbadala kwa Fran Merida na kucheza kama difenda katika mechi hiyo waliyoshinda 6-0. Coquelin alifunga bao lake la kwanza kama mchezaji wa Arsenal katika mechi ya timu hifadhi dhidi ya Stoke City mnamo 6 Oktoba 2008 kwa mkwaju wa nguvu na mguu wake wa kushoto.
Msimu wa 2009/10[hariri | hariri chanzo]
Coquelin alianza katika timu ya kwanza alipocheza katika mechi dhidi ya West Bromwich Albion Shindano la Kombe la League,akicheza dakika 58 kabla ya kubadilishwa na Mark Randall kuanza kufanywa kwanza kwa timu ya kwanza dhidi ya West Bromwich Albion katika Duru ya tatu ya Kombe la Ligi, kucheza dakika 58 kabla ya yeye ersattes Mark Randall.
Mtindo wa kucheza[hariri | hariri chanzo]
Amesifika kama mchezaji mwenye kunyang'anya mpira kwa njia ya nguvu lakini halali.Amefananishwa na Claude Makelele na Lassana Diarra kwa kuwa mdogo lakini mwenye roho.
Tuzo[hariri | hariri chanzo]
Arsenal[hariri | hariri chanzo]
- Kombe la Vijana La FA: 2009
- Ligi ya FA ya Shule: 2009
Takwimu ya Wasifu[hariri | hariri chanzo]
- (sahihi tangu 28 Oktoba 2009)
Klabu | Msimu | Ligi | Kombe la FA | Kombe la Carling | Uropa | Total | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mechi alizocheza | Mabao | Usaidizi katika kufunga bao | Mechi alizocheza | Mabao | Usaidizi katika kufunga bao | Mechi alizocheza | Mabao | Usaidizi katika kufunga bao | Mechi alizocheza | Mabao | Usaidizi katika kufunga bao | Mechi alizocheza | Mabao | Usaidizi katika kufunga bao | ||
Arsenal | 2008–09 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 1 | 0 | 0 |
Arsenal | 2009–10 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 2 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 2 | 0 | 0 |
Jumla | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 3 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 3 | 0 | 0 |
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- "Coquelin signing complete and new home kit revealed". arsenalyouth.wordpress.com.
- "Arsenal 2-0 West Brom". Archived 7 Machi 2016 at the Wayback Machine. Arsenal F.C..
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- Profile Archived 19 Desemba 2008 at the Wayback Machine. katika tovuti ya Arsenal.com
- Francis Coquelin career stats kwenye Soccerbase