Francis Arinze
Mandhari
Francis Arinze (alizaliwa 1 Novemba 1932) ni kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Nigeria.
Alihudumu kama Mkuu wa Idara ya Ibada ya Kimungu na Nidhamu ya Sakramenti kutoka 2002 hadi 2008, na kabla ya hapo, aliongoza Sekretarieti ya Wasio Wakristo (baadaye ikawa Baraza la Kipapa la Mazungumzo ya Kidini) kutoka 1984 hadi 2002.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Loyn, David (18 Aprili 2005). "Profile: Cardinal Francis Arinze". BBC News. Iliwekwa mnamo 28 Desemba 2022.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ God's Invisible Hand: The Life and Work of Francis Cardinal Arinze: an Interview with Gerard O'Connell. Ignatius Press. 2006. ku. 12–21. ISBN 978-1-58617-135-3.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |