Francesco di Paola Cassetta
Mandhari
Francesco di Paola Cassetta (12 Agosti 1841 – 23 Machi 1919) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Alihudumu kama Mkuu wa Baraza Takatifu la Mtaguso kuanzia mwaka 1914 hadi kifo chake. Alipandishwa cheo na kuwa Kardinali mwaka 1899.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Burkle-Young, Francis A. (2000). Papal Elections in the Age of Transition, 1878-1922 (kwa Kiingereza). Lexington Books. uk. 78. ISBN 978-0-7391-0114-8.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |