Nenda kwa yaliyomo

Francesco Zabarella

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francesco Zabarella (10 Agosti 136026 Septemba 1417) alikuwa kardinali na mtaalamu wa sheria za Kanisa kutoka Italia. Alizaliwa Padua na alisoma sheria katika Bologna na Florence, ambako alihitimu mwaka 1385. Alifundisha Sheria za Kanisa huko Florence hadi 1390 na baadaye Padua hadi 1410.

Baada ya kupokea daraja ndogo na upadrisho mwaka 1385, Zabarella aliteuliwa kuwa mwakilishi wa askofu Acciajuoli wa Florence na kuhudumu kama kasisi wa Kanisa la Santa Maria in Pruncta karibu na Florence.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.