Francesco Spoto
Mandhari
Francesco Spoto (8 Julai 1924 – 27 Desemba 1964) alikuwa padre wa Kanisa Katoliki kutoka Italia aliyehudumu katika misheni za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na aliuawa huko. Pia alikuwa mtawa wa Shirika la Wakatoliki wa Misheni kwa Maskini.
Alitangazwa mwenye heri huko Palermo tarehe 21 Aprili 2007 baada ya Papa Benedikto XVI kukubali kuwa padre huyo aliuawa "kutokana na chuki ya imani." Kardinali Salvatore De Giorgi aliongoza sherehe hiyo kwa niaba ya Papa.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Martyr Francesco Spoto Beatified in Palermo". Zenit News Agency. 27 Aprili 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 23 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 9 Oktoba 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |