Nenda kwa yaliyomo

Fransisko Spinelli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Francesco Spinelli)
Sanamu yake huko Caravaggio, Italia.
Misa ya kutangazwa kuwa mtakatifu kwa Spinelli iliyofanyika mwaka wa 2018 katika Uwanja wa Mt. Petro, Vatikani.

Fransisko Spinelli (jina la ubatizo kwa Kiitalia: Francesco; Milano, 14 Aprili 1853Rivolta d'Adda, 6 Februari 1913[1]) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia Kaskazini.

Spinelli alikuwa na uhusiano wa karibu na Geltrude Comensoli na Luigi Maria Palazzolo, na alifanya kazi pamoja na Comensoli kuanzisha kati ya matatizo mengi shirika la kitawa la Masista Waabuduo Sakramenti Takatifu Sana (1882) huko Bergamo [2].

Hata hivyo, kutokuelewana kati ya wanachama kulisababisha Spinelli kujitenga na kazi hiyo na kuondoka.[3]

Hivyo shirika liligawanyika (1892), naye alivumilia yote kwa ajili ya Mungu[4].

Mchakato wa kutangaza utakatifu wa Spinelli ulianza mwaka 1952 chini ya Papa Pius XII. Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II 21 Juni 1992, halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 14 Oktoba 2018[5].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[6].

Maandishi yake

[hariri | hariri chanzo]
  • ... Così il padre fondatore alle sue figlie, Rivolta d'Adda 1981.
  • Servo di Dio don Francesco Spinelli, fondatore Suore adoratrici SS. Sacramento : dai suoi scritti, Industria grafica editoriale Pizzorni, Cremona 1976 Cremona.
  • Lettere alle suore, Suore Adoratrici del SS. Sacramento, Cremona 1989.
  • Conversazioni Eucaristiche, a cura di E. Bolis e P. Rizzi, Nuova Editrice Cremonese, Cremona 2017.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. E. Crovella, Spinelli, Francesco, in Enciclopedia dei santi - Bibliotheca Sactorum, XI, Roma 1968, coll. 1350.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/91320
  3. "Bl. Francesco Spinelli". Catholic Online. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Agosti 2016. Iliwekwa mnamo 8 Juni 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Beato Francesco Spinelli Archived 2018-01-06 at the Wayback Machine.
  5. "Canonization: Who are the other 5 new Saints? - Vatican News". www.vaticannews.va. 14 Oktoba 2018. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 1 Juni 2019. Iliwekwa mnamo 3 Juni 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.