Nenda kwa yaliyomo

Francesco Soderini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francesco di Tommaso Soderini (10 Juni 145317 Mei 1524) alikuwa kardinali na kiongozi mashuhuri wa kidiplomasia na Kanisa Katoliki katika Italia ya kipindi cha Renaissance, na ndugu wa Piero Soderini. Alikuwa mpinzani wa familia ya Medici. Mnamo 27 Machi 1486, alipewa daraja ya upadre na Rinaldo Orsini, Askofu Mkuu wa Firenze. Aliteuliwa kuwa Askofu wa Volterra mnamo 1478, lakini alijiuzulu mnamo 1509.[1]

  1. Miranda, Salvador. "SODERINI, Francesco (1453-1524)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Florida International University. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2025-03-12. Iliwekwa mnamo Januari 28, 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.