Nenda kwa yaliyomo

Francesco Saverio Salerno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francesco Saverio Salerno (27 Agosti 192821 Januari 2017) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki.

Alipadrishwa mwaka 1952, na baadaye aliteuliwa kuwa askofu wa jimbojina la Cerveteri na katibu wa Apostolic Signatura, Italia, mwaka 1997. Alihudumu kama katibu kutoka 1998 hadi 2003.[1]

  1. "Bishops who are not Ordinaries of Sees: S… – SAM…". www.gcatholic.org.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.