Francesco Satolli
Mandhari

Francesco Satolli (21 Julai 1839 – 8 Januari 1910) alikuwa mwanateolojia, profesa na kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Alikuwa Balozi wa Papa wa kwanza nchini Marekani.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Eglise à Lyon. Archevêché de Lyon. 1881. uk. 447.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |