Nenda kwa yaliyomo

Francesco Moser

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francesco Moser (kwa Kiitalia: [franˈtʃesko ˈmɔːzer, - moˈzɛr], kwa Kijerumani: [ˈmoːzɐ]; alipewa jina la utani "Lo sceriffo" yanni Sheriff; alizaliwa 19 Juni 1951) ni mwanariadha wa zamani Mwitalia wa mbio za baiskeli barabarani.

Alimaliza kwenye jukwaa la Giro d'Italia mara sita ikijumuisha ushindi wake katika toleo la 1984.[1][2]

  1. "La Stampa – Consultazione Archivio".
  2. "La Stampa – Consultazione Archivio".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Francesco Moser kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.