Nenda kwa yaliyomo

Francesco Marchetti Selvaggiani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francesco Marchetti Selvaggiani (1 Oktoba 187113 Januari 1951) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki wa Italia aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Katibu wa Baraza la Uenezaji wa Imani, Vika Jenerali wa Papa, Katibu wa Ofisi Takatifu, na hatimaye Dekano wa Rika la Makardinali. Alipewa hadhi ya Kardinali mwaka 1930.[1]

  1. "Papal Offense-Defense". Time. 18 Agosti 1930. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Julai 2010.{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.