Nenda kwa yaliyomo

Francesco Coppini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francesco Coppini (au dei Coppini; Prato, kabla ya 1415 - Roma, 29 Septemba 1464) alikuwa askofu wa Italia ambaye Papa Pius II alimtuma Uingereza mwaka 1459 kwa ajili ya kupanga maridhiano kati ya nyumba za Lancaster na York wakati wa Vita vya Mawaridi.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.