Nenda kwa yaliyomo

Francesco Carafa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francesco Carafa (alifariki 30 Julai 1544) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki aliyekuwa Askofu Mkuu wa Napoli. Alihudumu katika wadhifa huo kuanzia tarehe 24 Januari 1530, alipoteuliwa na Papa Klementi VII, hadi kifo chake. [1]

  1. Eubel, Konrad (1923). HIERARCHIA CATHOLICA MEDII ET RECENTIORIS AEVI Vol III (tol. la second). Münster: Libreria Regensbergiana. ku. 255. (in Latin)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.