Nenda kwa yaliyomo

Francesco Beschi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Francesco Beschi (alizaliwa Brescia, 6 Agosti 1951) ni askofu wa sasa wa Jimbo la Bergamo.

Francesco Beschi alizaliwa katika familia ya mfanyakazi wa reli na mke wake. [1]

  1. "From an Italian website". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2009-04-30.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.