Francesco Bertoglio
Mandhari
Francesco Bertoglio (15 Februari 1900 – 6 Julai 1977) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Italia, ambaye alihudumu kama Mkuu wa Seminari ya Kipapa ya Lombardia huko Roma kwa zaidi ya miaka ishirini na tano na baadaye kama Askofu Msaidizi wa Milano.
Wakati wa Vita Vikuu vya Pili, alihifadhi Wayahudi na wakimbizi wa kisiasa kadhaa na kuwasaidia kuepuka kukamatwa na Wanazi.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gaspari, Antonio (24 Juni 2011). "65 gli ebrei salvati da mons. Francesco Bertoglio". Zenit (kwa Kiitaliano). Iliwekwa mnamo 15 Juni 2020.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |