Francescantonio Nolè
Mandhari
Francescantonio Nolè (9 Juni 1948 – 15 Septemba 2022) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia. Alitumikia kama Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Cosenza-Bisignano kuanzia tarehe 15 Mei 2015 hadi alipofariki dunia akiwa na umri wa miaka 74.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Rinuncia dell'arcivescovo metropolita di Cosenza-Bisignano (Italia) e nomina del successore
- ↑ Diocesi: Cosenza, morto l’arcivescovo Francescantonio Nolè
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |