France Castel
Mandhari
France Castel, née Bégin (amezaliwa Sherbrooke, Quebec, 31 Agosti 1944) ni mwimbaji, mwigizaji na mtangazaji wa Kanada.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "France Castel : transparente et secrète à la fois". Les Grandes entretiens, October 26, 2016.
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu France Castel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |