Françoise Massy
Mandhari
Françoise Massy (amezaliwa 2 Machi 1947)[1] ni mtawa na mmisionari Mkatoliki wa Ufaransa, mmoja wa wanawake saba wa kwanza walioteuliwa kuwa washiriki wa Idara ya Mashirika ya Maisha ya Wakfu na Jumuiya za Maisha ya Kitume, ya pili ya daraja la juu katika Curia ya Kirumi, taasisi ya utawala ya Ukulu mtakatifu tangu tarehe 8 Julai 2019, alipoteuliwa na Papa Fransisko.[2][3]
Massy alichaguliwa tarehe 1 Oktoba 2014 kuwa Mkuu wa shirika lake, Wamisionari Wafransisko wa Maria (Franciscan Missionaries of Mary).[4] Alifuatwa mwaka 2020 na Eufemia Glenny, F.M.M.[5]
Tuzo
[hariri | hariri chanzo]Mnamo mwaka 2021 alitunukiwa tuzo ya Legion of Honor kwa mchango wake kwa jamii, Yvonne Reungoat ambaye pia ni mtawa, alipewa tuzo hiyo na wote wawili waliipokea siku ya mwaka mpya.[6]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Sr. Françoise Massy, F.M.M.website=www.gcatholic.org".
- ↑ Gagliarducci, Andrea (8 Julai 2019). "Papa Francesco, sette donne tra i membri della Congregazione dei religiosi" (kwa Kiitaliano). ACI Stampa. Iliwekwa mnamo 8 Julai 2019.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Resignations and Appointments, 08.07.2019 (Press release). Holy See Press Office. 8 July 2018. http://press.vatican.va/content/salastampa/en/bollettino/pubblico/2019/07/08/190708a.html. Retrieved 15 July 2019.
- ↑ "Franciscan Missionaries of Mary (F.M.M.)". GCatholic.
- ↑ "Celebrating our Superior General's Patronal feast". FMM.
- ↑ "Françoise Massy et Yvonne Reungoat, deux religieuses honorées par la République". La Croix (kwa Kifaransa). 2021-02-16. Iliwekwa mnamo 2025-03-27.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |