Nenda kwa yaliyomo

Françoise Legey

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Françoise Legey (18761935) alikuwa daktari wa Kifaransa na Moroko. Mnamo mwaka 1900,Françoise alikuwa mwanamke wa kwanza kuwa daktari nchini Moroko akijitolea maisha yake na taaluma yake nchini Algeria na Moroko katika kuhudumia afya ya wanawake. Pia Françoise alianzisha hospitali ya wazazi mjini Marrakesh, alitoa mafunzo kwa wakunga, na kuanzisha kituo cha kugawa maziwa. [1]

  1. Ha, Marie-Paule (2014). French Women and the Empire: The Case of Indochina. Oxford University Press. uk. 76. doi:10.1093/acprof:oso/9780199640362.001.0001. ISBN 9780199640362. OCLC 934656566. Iliwekwa mnamo 2018-04-02.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Françoise Legey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.