François Deniau
Mandhari
François Joseph Pierre Deniau (3 Oktoba 1936 – 12 Januari 2014) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa.
Alipadrishwa katika Jimbo Kuu la Paris tarehe 29 Juni 1961.
Papa Yohane Paulo II alimteua kuwa askofu wa Nevers tarehe 26 Juni 1998, na alipokea daraja ya uaskofu tarehe 4 Oktoba.
Papa Benedikto XVI alikubali kujiuzulu kwake tarehe 27 Agosti 2011. Alifariki tarehe 12 Januari 2014.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la XC. 1998. uk. 634. Iliwekwa mnamo 17 Machi 2024.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |