François Colimon
Mandhari
François Colimon (10 Julai 1934 - 4 Novemba 2022) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki la Haiti.
Colimon alizaliwa nchini Haiti akapata kuwa padre mwaka 1962. Alihudumu kama askofu msaidizi wa Jimbo la Kanisa Katoliki la Port-de-Paix kuanzia mwaka 1978 hadi 1982, na kisha alihudumu kama askofu wa jimbo hilo kuanzia mwaka 1982 hadi alipotangaza kujiuzulu mwaka 2008.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |