Nenda kwa yaliyomo

François Amichia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

François Albert Amichia (amezaliwa 4 Oktoba 1952 huko Abidjan) ni mwanasiasa kutoka Côte d’Ivoire.

Yeye ni mwanachama wa chama cha Democratic Party of Côte d'Ivoire – African Democratic Rally (PDCI-RDA).[1]

Aliwahi kuwa meya wa Treichville na pia kushika nyadhifa za Waziri wa Michezo na Waziri wa Utalii.

Tangu mwaka 2018, amekuwa Waziri wa Miji na Maendeleo ya Mijini.

  1. Redkiwi.nl. "City Diplomacy - François Albert Amichia -". www.citydiplomacy.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-29. Iliwekwa mnamo 2026-05-21.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu François Amichia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.