François-Xavier Bustillo
Mandhari
François-Xavier Bustillo, OFMConv. (alizaliwa 23 Novemba 1968) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki wa asili ya Kihispania kutoka Ufaransa, ambaye amekuwa Askofu wa Ajaccio huko Corsica tangu 2021.
Aliingia katika Shirika la Wafransisko Waonventuali katika miaka ya 1980, na tangu apate daraja ya upadre, amefanya huduma yake yote nchini Ufaransa.
Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali tarehe 30 Septemba 2023.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Vincent, Christiane (4 Juni 2011). "L'enfant de Navarre est devenu prêtre médiatique". Midi Libre (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 18 Desemba 2024.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |