Nenda kwa yaliyomo

Fouad Zakariyya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fouad Zakariyya (akijulikana pia kama Fu’ād Zakarīyā; 192713 Machi 2010) alikuwa mwanafalsafa wa Misri na mkosoaji wa itikadi za Kiislamu, ambaye anajulikana kama "baba wa falsafa ya uwepo wa Kiarabu" .[1][2]

Zakariyya alisoma katika Chuo Kikuu cha Ain Shams mjini Cairo, na kupata shahada ya uzamivu (PhD) ya falsafa mwaka 1956 pia alikuwa mkuu wa idara ya falsafa katika Chuo Kikuu cha Kuwait kuanzia mwaka 1974 hadi 1991.

  1. "Fouad Zakariyya, Arab existentialist with a secular vision". The National. 20 Machi 2010. Iliwekwa mnamo 21 Desemba 2013.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Mohammad Al Mutawa (Machi 17, 2010). "Fouad Zakaria: Saluting the father of Arab existentialism". Gulf News. Iliwekwa mnamo 16 Februari 2015.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fouad Zakariyya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.