Fouad Siniora
Mandhari
Fouad Siniora alizaliwa 19 Julai 1943) ni mwanasiasa wa Lebanon. Alihudumu kama Waziri Mkuu wa Lebanon wa 46 kuanzia mwaka 2005 hadi 2009. Pia alihudumu kama Waziri wa Fedha kuanzia mwaka 2000 hadi 2004.
Mwanzo wa kazi
[hariri | hariri chanzo]Katika miaka ya 1970, Sanioura alifanya kazi katika benki ya Citibank na akafundisha katika Chuo Kikuu cha Marekani cha Beirut (American University of Beirut), chuo alichosoma,[1] pamoja na Chuo Kikuu cha Lebanon.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Moubayed, Sami (8 Julai 2005). "The new face of Lebanon". Asia Times Online. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Desemba 2005. Iliwekwa mnamo 27 Machi 2013.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unfit URL (link) - ↑ "Middle East | Profile: Fouad Siniora". BBC NEWS (kwa Kiingereza (Uingereza)). 28 Mei 2008. Iliwekwa mnamo 2017-06-02.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fouad Siniora kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |