Nenda kwa yaliyomo

Folorunso Alakija

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Folorunsho Alakija

Folorunso Alakija (alizaliwa 15 Julai, 1951) ni mfanyabiashara na mwanahisani wa nchini Nigeria.[1][2][3] Kwa sasa ni mkurugenzi mkuu wa kampuni ya The Rose of Sharon Group na pia anahudumu kama makamu mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya Famfa Oil Limited.[4]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Alakija alizaliwa katika familia yenye maisha ya kawaida mnamo 15 Julai 1951[5]. Baba yake chifu L.A. Ogbara, alikua na wake 8 na watoto 52,[6] na Folorunso akiwa ndio mtoto wa kwanza.[7] Anatoka katika kabila la Yoruba kusini-magharibi mwa Nigeria.[8]

Akiwa na umri wa miaka kumi, Alakija alisafiri hadi Uingereza kwa ajili ya elimu yake. Alakija alisoma shule ya upili ya kiislamu huko Shagamu, Nigeria. Kisha na kurudi Uingereza kwa masomo yake ya ukatibu katika Chuo Kikuu cha Pitman, London.

  1. You must specify title = and url = when using {{cite web}}.. Retrieved on September 17, 2024.
  2. Iyengar, Rishi (30 Desemba 2014). "Here's She is the World's Richest Black woman in the world". Time. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 3 Mei 2018. Iliwekwa mnamo 30 Desemba 2014.{{cite magazine}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Folorunso Alakija". africa.harvard.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 20 Mei 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Folorunso Alakija". Folorunsho Alakija. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 Aprili 2021. Iliwekwa mnamo 27 Aprili 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. You must specify title = and url = when using {{cite web}}.. Retrieved on September 17, 2024.
  6. "FOLORUNSHO ALAKIJA - A Pathway For Very Female Entrepreneur". Alamin Abdulhadi. Iliwekwa mnamo 24 Aprili 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. "Covenant I made with God at age 40 — Folorunso's Alakija". Punch Newspapers (kwa American English). 2021-07-18. Iliwekwa mnamo 2023-01-20.
  8. Sadiq, Mobola (2021-07-18). "Covenant I made with God at age 40 — Folorunsho Alakija". Punch Newspapers (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-02-10.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Folorunso Alakija kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.