Nenda kwa yaliyomo

Folashade Adefisayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Folashade Adefisayo ni msomi na mwalimu kutoka Nigeria ambaye aliwahi kuhudumu kama Kamishna wa Wizara ya Elimu ya Jimbo la Lagos.[1][2][3][4]

Adefisayo alisoma katika Chuo Kikuu cha Ibadan ambako alipata shahada ya kwanza ya Zoolojia (Sayansi ya Wanyama).

  1. "Lagos orders resumption of remaining classes in public, private schools". The Guardian Nigeria News - Nigeria and World News (kwa American English). 2020-10-13. Iliwekwa mnamo 2020-11-11.
  2. "Lagos is prepared for new normal in education —Adefisayo -". Vanguard News (kwa American English). 2020-08-06. Iliwekwa mnamo 2020-11-11.
  3. "Folashade Adefisayo Archives | Premium Times Nigeria" (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2020-11-11.
  4. "Official Lagos State Website | The best place to find government services and information". lagosstate.gov.ng. Iliwekwa mnamo 2025-03-04.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Folashade Adefisayo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.