Nenda kwa yaliyomo

Floyd Mayweather Jr.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Floyd Joy Mayweather Jr. (Alizaliwa Februari 24, 1977) ni bondia bilionea na mchapishaji wa ndondi nchini Marekani.[1]Yeye hajashindwa kwenye rekodi ya 50–0.[2] Mayweather alishinda ubingwa mara 15 ya ulimwengu katika madaraja matano ya uzito kuanzia super featherweight hadi light middleweight.[3][4]

  1. "BoxRec ratings: all fighters, all locations". BoxRec. Iliwekwa mnamo Julai 24, 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Floyd Mayweather". Encyclopaedia Britannica. Iliwekwa mnamo 2026-04-26.
  3. "Floyd Mayweather wins ESPY Award beating out Manny Pacquiao & Georges St-Pierre". nowboxing.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 24, 2014. Iliwekwa mnamo Oktoba 24, 2014.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Mayweather wins fifth ESPY award". The Ring. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 29, 2013. Iliwekwa mnamo Januari 1, 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Floyd Mayweather Jr. kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.