Nenda kwa yaliyomo

Florentinus Sului Hajang Hau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Florentius Sului Hajang Hau (11 Desemba 194818 Julai 2013) alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki nchini Indonesia.

Alipadrishwa mwaka 1973 na baadaye akateuliwa kuwa askofu wa Jimbo Katoliki la Samarinda, Indonesia, mwaka 1993. Mnamo 2003, aliteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Samarinda. Alifariki dunia mwaka 2013 akiwa bado madarakani.[1]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.