Florence Okoe
Mandhari
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |
Florence Okoe (alizaliwa tarehe 12 Novemba 1984) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa kimataifa kutoka nchini Ghana anayekipiga kama kiungo wa kati.
Ni mmoja ya wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Ghana. Alikuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo katika Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mwaka 2003 na 2007. Katika ngazi ya klabu, anachezea klabu ya mpira ya Ghatel Ladies nchini Ghana.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Florence Okoe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |