Florence Duperval Guillaume
Mandhari
Florence Duperval Guillaume (fr) ni mwanasiasa wa Haiti ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Afya ya Umma na Idadi ya Watu wa Haiti. Pia alikuwa kaimu Waziri Mkuu wa Haiti Mnamo tarehe 20 Desemba 2014 hadi 16 Januari 2015.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ["Haiti health minister Florence Guillaume named interim prime minister". CBC/Radio-Canada. Thomson Reuters. 21 Desemba 2014. Iliwekwa mnamo 16) Januari 2015.
{{cite news}}: Check|url=value (help); Check date values in:|access-date=(help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Florence Duperval Guillaume kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |